Ninawatakia heri ya mwaka mpya 2008. I thank you all guys kwa kazi kubwa ya kukosoa, kelimisha na kuhabarisha kupitia JF. I have learned a lot through JF and Hopeful moto huu utazidi kuwaka na watu mtazidi kukemea bila woga.JF imekuwa cheche ya mawazo huria. God bless you all.
Lo salaleeee... acha mambo hayo Nyani, waache walevi waanze mwaka kwa furaha na harufu nzuri ya gongo, chang'aa, na jasho la mapapai, hayo mayai viza mwachie kuku afanye recycling!