Kwa Liverpool fans wote nawatakieni heri ya mwaka mpya 2020! Pasi na shaka Liverpool bingwa wa EPL 2019/2020 ! Kama kuna timu ina ndoto ya hilo kombe basi iendelee kuota.