Heri ya siku ya kuzaliwa ya 75, Bruce Lee

Heri ya siku ya kuzaliwa ya 75, Bruce Lee

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Bruce Lee ni mwigizaji mahiri na mstadi wa Kungfu, ambaye alizindua mtindo wa filamu za Kungfu na kuhimiza mageuzi katika Kungfu duniani . Yeye ni mtu wa kwanza aliyelifanya neno la Kungfu kwenye kamusi ya kiingereza.

Bruce Lee alifariki akiwa na umri wa miaka 33, filamu yake ya mwisho ?Enter The Dragon? ilitolewa siku 6 baada ya kifo chake.

Ni movie gani ya huyu jamaa uliipenda sana na itakufanya uendelee kumkumbuka?

Tunakumiss sana Bruce Lee, R.I.P.
 
Hiyo ya Enter the dragon na nyingine nyingi.
Jamaa angekuwa hai hadi leo huenda angekuwa maarufu kuliko mtu yeyote duniani.
Happy Belate Birthday....
R.I.P
 
nifah hhhhh...mic u..
Hiyo ya Enter the dragon na nyingine nyingi.
Jamaa angekuwa hai hadi leo huenda angekuwa maarufu kuliko mtu yeyote duniani.
Happy Belate Birthday....
R.I.P
 
Last edited by a moderator:
Back in the day mkipigana ukatolewa damu unalamba hivi design, halafu ghafla tu unajihisi umekuwa possessed na mzimu wa Bruce Lee. Nimeona na nazikubali movie zake zote, ila The Big Boss' my !sh.
 
Duh!enzi za kuvaa kungfuu shoes na kutembea na chain RIP Bruce.
 
Fist of fury ndio movie ninayoikubali sana ya huyu nguli.
R.I.P Bruce Lee.
 
Mimi hadi kesho nazirudia movie zake bila kuchoka ...
 
Naikumbuka sana ile ya bruce lee na chuck norris refa nyau
 
Yani happy barthday kwa mtu alifariki kitambo? wajameni acheni mtakufuru
 
Bruce Lee Ndio Nani? Mm nimezaliwa zama za kina John walker ,Fast n furious,X~men Sasa huyo dragon master sijui ndio nani?
 
Bruce Lee Ndio Nani? Mm nimezaliwa zama za kina John walker ,Fast n furious,X~men Sasa huyo dragon master sijui ndio nani?

Hiyo ID tu inaonesha kuwa bado unayo maziwa ya mama mdomoni.
 
Bruce Lee Ndio Nani? Mm nimezaliwa zama za kina John walker ,Fast n furious,X~men Sasa huyo dragon master sijui ndio nani?

Huna lolote we ni kikongwe tu na Bruce Lee unamfahamu ww!...hata mtoto wa darasa la nne ss hivi anamfahamu Bruce Lee.. usijue THE BIG BOSS, FIST OF FURY, ENTER THE DRAGON?!?! haupo duniani basi...
 
? Be like water making its way through cracks. Do not be assertive, but adjust to the object, and you shall find a way around or through it. If nothing within you stays rigid, outward things will disclose themselves.
Empty your mind, be formless. Shapeless, like water. If you put water into a cup, it becomes the cup. You put water into a bottle and it becomes the bottle. You put it in a teapot, it becomes the teapot. Now, water can flow or it can crash. Be water, my friend.
Bruce Lee
 
Back
Top Bottom