Heri ya siku yako ya kuzaliwa Rais Benjamini William Mkapa.

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
12 Novemba 1938 - Rais Benjamin William Mkapa, anazaliwa Ndanda, Masasi, Tanganyika.

Kiboko ya UKAWA. Tujikumbushe kauli zake Huyu simba wa Vita
 
We kajamaa umekuwa MTU wa kwanza hapa jf kumtakia heli ya kuzaliwa mkapa ambaye hata hakufahamu. na wakati huo kijijini kwenu hujui baba yako alizaliwa Mwaka gani.
[emoji38][emoji4]
 
Niliitwa lofa na mpumbavu acha nikae kimya
 
12 Novemba 1938 - Rais Benjamin William Mkapa, anazaliwa Ndanda, Masasi, Tanganyika.

Kiboko ya UKAWA. Tujikumbushe kauli zake Huyu simba wa Vita
Watu walishakaa kimya siku ipite tu.
 
Tumekusikia.mtuwakilishe kutoa pongezi
 
ila baba yako bado mzima what a miracle
dingi na maza walishanyoosha in their 40s. Walikuwa wanategemea kipato halali na wangeishi maisha marefu tu kama anayetuita lofa kama wangekuwa wadhulumu wa mali za nchi. Kwasabab wangepata matibabu na maisha bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…