Heri ya watu waongeaji kuliko wakimya

Heri ya watu waongeaji kuliko wakimya

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Watu waongeaji si rahisi sana kukudhuru tofauti na wakimya

Mifano halisi

1. Binti mkimya/msiri
Nilikutana na binti mkimya nikajua bwana nimepata maana wanaume hatupendi wanawake waongeaji sana.

Yule binti mkimya alinificha sana mambo mengi Baada ya Mwaka sasa
1. Nagundua alikuwa analipwa mshahara laki 5(lakini mwanzoni kwa mahusiano alisema analipwa laki 250)

2. Nikagundua hakuwa bikra yule (wakat nakutana nae kitu kulikuwa ukuta ulikuwa kumbe mzee michezo sijui ni ndumu wa naweka inabana na damu anatoa🤣alikaa mda mrefu Bila kusex

3. Kuna bwana mmoja alisema anamsumbua na akasema kamublock (kumbe waliendelea kuchat kisiri siri maana sikuwa na tabia ya kuikagua simu yake sababu mimi mwenyewe simu yangu ilikua na magendo ya wana wake wengi)

Baada ya Kuachana naye Rafiki ake anakuja kuniambia hivi unajua ex wako sahivi Ana mabwana wawili(duh nikajiuliza mbona hizo tabia kwangu siku wahi kuziona Ina maana kumbe alikuwa anafanya vitu kisiri siri )

NB. Demu halewi, haendi club, Hana marafiki wengi iwe wa kiume wa kike, mvivu sana wa kazi nyumbani, hajapitia life gumu


B. Binti muongeaji
Huyu Sasa alikua kiboko binti siku ya kwanza tu nakuta nae akaniambia "ujue juzi kuna bwana nimekutana nae kaniibia" hajakaa Sawa akanisumilia kesho yake Tena aliitwa na bwana mwingine hamjui lakini kajilepeka kanunuliwa bia mwishowe alipoona ni hatari akamkimbia yule bwana

Hajakaa Sawa akanifungukia
(😂Kwamba anakunywa k. Vant, konyagi bia mmh!!? Nikawaza) hivi hapa kuna demu kweli??

Akaanza kunifungukia mpaka mabaya ya baba yake na baba yake mdogo Sasa nikawaza binti ndo kaniona mara ya kwanza hanijui anafunguka vile?

Sijakaa Sawa akaanza kunisimulia jinsi ndugu zake walivyo na dharau haswa kwa mtu mwenye elimu ndogo (ni muhaya by the way)

Sijakaa Sawa akaanza kutaja hadi namna madhaifu yake mengine duh siwez yataja(Sasa nikawaza Huyu nikidumu nae itakua je maana ake si atakua anatangaza vitu vyetu) 🤣

NB. Analewa , anaenda sehemu za Bata kiasi chake, skills zote za nyumbani anaziweza si mvivu, amepitia maisha ya kitajiri na kimasikini

Lakini swali la msingi je ni yupi bora anaekwambia ukweli mapema ukayajua mabaya yake au anaekuficha mbeleni ukaja ukaja?
 
Back
Top Bottom