Heri yetu ya kuzaliwa sisi wa "May 28"

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,435
Reaction score
4,245
Hakika kheri na baraka ni zake Mwenyezi Mungu, kwa kutuwezesha kufika hapa tulipo...

Mwenyezi Mungu, awape kheri na baraka wazazi wetu kwa kuweza kutulea na kutufunza mema maishani mwetu...
 
Ehhh, kumbe sipo PEKE YANGU.

May 28 tupo JUU. Happy Birthday mwenzangu tusiyefahamiana.
Hakika kheri na baraka ni zake Mwenyezi Mungu, kwa kutuwezesha kufika hapa tulipo...

Mwenyezi Mungu, awape kheri na baraka wazazi wetu kwa kuweza kutulea na kutufunza mema maishani mwetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…