iv kuna aliewah shikiwa bunduki kwenda kukopa hapo....???Jamani heritage financing company limited iliyoko hapa Arusha Tanzania ni shida. Wanapenda riba kubwa, wanapenda kuuza mali za watu,wanapenda makesi mahakamani la kushangaza kupita kiasi mkurugenzi wa kampuni hii ni mlokole. ova
hata mm bro yan mtu anaona riba 100% anakopa af anaanza kuilaumu serikalUkisign contract ina maana umekubaliana na hayo yote.
Unashindwa kulipa unakimbilia mahakamani sometimes nashindwa kuwa elewa Watanzania.
Mwenye Loan agreement ya heritage financing company limited ,aiweke hapa. Mikataba yao huwa ni siri na serikali sidhani kama iliwahi kupitia hiyo mikataba yao ili kuiona uhalali wake. He Hakuna taasisi ya kuangalia hii mikstaba jamani. Heritage ni shida hapa Arushautakuta mkataba wa milioni kumi unajumlishwa na hiyo riba 6m mkataba unasoma umekopeshwa 16m unasainiwa hakimu akijua kinachoendelea, tena wana mahakimu wao kule wilayani,wakikatiwa laki 5 hazina risiti, wanagonga na mihuri ua jamhuri kabisa, wanajitia wanatoa huduma, hii si sawa (kwa sauti ya Nape)
Heritage Finance limited ya hapa arusha wauza nyumba ya baba wa watu na kuibomoa iliyoko bomangombe wilaya ya Hai mkoa wa kilimanjaro. Baba huyo alikuwa hajakopa mkopo Heritage bali alikopa jirani yake wakati wa kuuza nyumba wakauza nyumba ya mtu mwingine. Huku arusha hii kampuni imekuwa kituko. Kungine inachukua hati ya nyumba inampa mke Wa mtu mkopo kupitia hiyo nyumba bila ridhaa ya mume na hati imeandikwa jina la mume. Tunaomba uchunguzi ufanyike kuhusu hujuma zinazofanywa na hii taasisi.hivi wanalazimisha watu kwenda kukopa kwao kwa viboko
Sasa kama hujalipa mkopo ulitaka wafannyaje? Wakati unachukua mkopo unakuwa umeshajua yote hayo..kwanini uje kulalamika baadae?Jamani heritage financing company limited iliyoko hapa Arusha Tanzania ni shida. Wanapenda riba kubwa, wanapenda kuuza mali za watu,wanapenda makesi mahakamani la kushangaza kupita kiasi mkurugenzi wa kampuni hii ni mlokole. ova
Itakosa Wateja vipi na Wateja ndio hao unasikia wanalia, wanaenda tu wanapigwa wanatoka wanalia...Wabongo unawajua unawasikia?kama ndo hvi itafungwa kwakukosa wateja maana wamejiharbia soko
Hii ya zamani sana May 2018Itakosa Wateja vipi na Wateja ndio hao unasikia wanalia, wanaenda tu wanapigwa wanatoka wanalia...Wabongo unawajua unawasikia?
nyumba inauzwa kwa amri ya mahakama, mahakama zetu huwa zinabariki mikataba hii haramu kwa nini?Nilisoma mahala ili mkataba uwe na nguvu ni lazima uwe halali. Riba 100% bot na tra wanajua hii!
Unakubali vipi kuingia kwa mkopo wa riba ya 100% ??Ndumbayeye,
Ukikopa laxima ulipe ila Kwa riba ya 100% utalipaje? Heritage financing company limited ni tatizo.wachunguzwe