Herman Stayn kumbe ukishalipwa mafao yako ninajitolea kukutafutia mke.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kumbu grandpa hujaoa, si vizuri hivyo. Nikiwa kama msamaria mwemawninajitolea kukutafutia mke ukishalipwa mafao yako.

Hata vitabu vya dini viliandika akamuacha Baba year na mamaye akaambatana na mke wake. Ukishalipwa nafao yako tumalize hili swala.

Ninakutakia matumizi mema ya pesa zako.
 
Shemela, mwishowe "utajiweka" ..Ahahahaha
 
Dawa ni moja, nakopesha apa jirani yangu maasai, nakaa miaka kumi nakamata ng'ombe zake zote.
Asiyefunzwa na *****...
 
Kumbu grandpa hujaoa, si vizuri hivyo. Nikiwa kama msamaria mwemawninajitolea kukutafutia mke ukishalipwa mafao yako.

Hata vitabu vya dini viliandika akamuacha Baba year na mamaye akaambatana na mke wake. Ukishalipwa nafao yako tumalize hili swala.

Ninakutakia matumizi mema ya pesa zako.
Dah....naona umeanza kupiga "madili"... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom