Shemela, mwishowe "utajiweka" ..AhahahahaKumbu grandpa hujaoa, si vizuri hivyo. Nikiwa kama msamaria mwemawninajitolea kukutafutia mke ukishalipwa mafao yako.
Hata vitabu vya dini viliandika akamuacha Baba year na mamaye akaambatana na mke wake. Ukishalipwa nafao yako tumalize hili swala.
Ninakutakia matumizi mema ya pesa zako.
Dah....naona umeanza kupiga "madili"... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbu grandpa hujaoa, si vizuri hivyo. Nikiwa kama msamaria mwemawninajitolea kukutafutia mke ukishalipwa mafao yako.
Hata vitabu vya dini viliandika akamuacha Baba year na mamaye akaambatana na mke wake. Ukishalipwa nafao yako tumalize hili swala.
Ninakutakia matumizi mema ya pesa zako.