Flynn walter
Member
- Apr 1, 2020
- 26
- 18
ni size 42Ungetaja size ili mnunuzi ajuwe zitamfaa au laa.
nipo Dar es salaam na bei ni 47000How much na uko wapi
Nitamuuliza mtu kesho saizi yake nikurudie au nikutafutie mteja wa chapunipo Dar es salaam na bei ni 47000
Dogo avae mali ya 47k? Atavalishwa za 12K zile.Mpe dogo avae
Nimecheka. Eti sio size yangu.Kila mtu hapa atasingizia sio size yake
Tafuteni hela wazee
πππ unamnunulia au ananunua?Nitamuuliza mtu kesho saizi yake nikurudie au nikutafutie mteja wa chapu
Ananunuliwaπππ unamnunulia au ananunua?
zipo bado, naishi changanyikeni UbungoUmeshauza? Na kama bado, upo Dar sehem gani?
Tatizo mbali boss, nipo Airport kuzifata huko gharama itakuwa kubwa sana.zipo bado, naishi changanyikeni Ubungo