Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mkuu kama daktari kathibisha ni hernia hapa hakuna cha kufanya. Au unataka mitishamba? Maana naamini huko daktari amekwisha waambia pendekezo lake katika swala la matibabu.Habari!
Tafadhalini sana naomba mawazo yenu juu ya tiba ya ngiri kwa mtoto Mdogo wa mwaka mmoja na mwezi mmoja. Mwanangu anaonekana kuwa na ngiri aina ya Inguinal kama inavyoonekana kwenye picha hapo
View attachment 900052