Habari!
Tafadhalini sana naomba mawazo yenu juu ya tiba ya ngiri kwa mtoto Mdogo wa mwaka mmoja na mwezi mmoja. Mwanangu anaonekana kuwa na ngiri aina ya Inguinal kama inavyoonekana kwenye picha hapo
Habari!
Tafadhalini sana naomba mawazo yenu juu ya tiba ya ngiri kwa mtoto Mdogo wa mwaka mmoja na mwezi mmoja. Mwanangu anaonekana kuwa na ngiri aina ya Inguinal kama inavyoonekana kwenye picha hapo View attachment 900052
sasa mkuu kama daktari kathibisha ni hernia hapa hakuna cha kufanya. Au unataka mitishamba? Maana naamini huko daktari amekwisha waambia pendekezo lake katika swala la matibabu.