Jamani naombeni kuwa shujaa wa kweli kudai haki yako nikiwa na maana unaweza kushindwa kusoma na vile vile hata rafiki yako akashindwa kwenda chuo sababu hana ada binafsi nimeliamulia hili swala nazani hata ikulu mwaka huu nitaenda mpaka haki itendeke na kesho nitaongea na mh mulugo ili ajue yote yanayotokea: