Herpes Simlex Virus

chigwiye

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
352
Reaction score
59
Naomba msaada,kama kuna anayejua dawa ya herpes simplex virus.
 
herpes ni virus ambao ki-msingi hawana dawa ya kuwamaliza moja kwa moja...na mara nyingi huwatokea kina mama hasa wakiwa/wamemaliza kipindi chao cha hedhi...

kikubwa ni usafi na kupaka dawa na kunywa antibiotic ambazo hupunguza maambukizi mengine ya bacteria kwenye eneo lililo na muwasho au vivimbe vya herpes.... kwa msaada zaidi google ipo... ni maoni na mie sio daktari... unaweza kumwona daktari pia kwa ushauri wa ki-taalamu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…