Herpes Simplex 2 : Tiba mbadala

Herpes Simplex 2 : Tiba mbadala

KIDOLEGUMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
498
Reaction score
110
Habari zenu wadau! naomba kusaidiwa mahali ambako naweza kupata tiba ya asili ya HSV-2, huu ugonjwa unakera sana kutokana na vipele vidogo vinavyotokea kwenye uke au uume pindi ufanyapo mara kwa mara au ukiwa na msongo wa mawazo, dawa ya acyclovir inatuliza tu tatizo.
 
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika

changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.

Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara

chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 3 ,utaona mabadiliko unaweza kutumia siku 3 mfulullizo au siku 7 kila siku asubuhi mara moja tu kwa siku.

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
 
Nashukuru mkuu!
 
Back
Top Bottom