Unakosa UTAMUMi match za yanga Huwa siangalii
Umesusa? Vipi ile Yanga anakutieni moja uliisusia?Mi match za yanga Huwa siangalii
Naelewa unaumia sana Yanga anavyokutieni kila mwaka kwasababu mpira ni mchezo wa furaha pale timu yako inaposhinda tu....vipi wewe siku ile ulikunya mavi?Huyu mtu amefanikiwa kuufanya mpira uwe uadui na siyo mchezo wa furaha tena.
Walikunya wanahitaji kutawazwaNaelewa unaumia sana Yanga anavyokutieni kila mwaka kwasababu mpira ni mchezo wa furaha pale timu yako inaposhinda tu....vipi wewe siku ile ulikunya mavi?
Hauoni ni vizuri anavyofanya kuwa karibu na wachezaji kiasi kile? Vipi siku ile ulikunya?Nilishasema sana Yanga ni timu ya wahuni wasio na akili. Huwa hamnielewi. Ukitaka kuona hiki unachosema, angalia baada ya mechi Hersi huwa anatafuta nini uwanjani kukumbatia-kumbatia wachezaji na kupiga stori. Ni upuuzi tu, sasa leo imeleta madhara
mpira wa miguu ni mchezo wenye furaha pale timu yako inapogawa kipigo kwa kila anaekutana nae ila kinyume chake timu yako inapoanza msimu halafu ikabirikiwa lazima uone ni uhuni kakaSoka limevamiwa na UHUNI mwingi... tukidhani ndio maendeleo..
Nimekukumbuka nilikuona siku ile unakunya halafu mwenyewe ukajiona bonge la mjanjaSoka limevamiwa na UHUNI mwingi... tukidhani ndio maendeleo..
Habari vipi Gaborone wako kaishia wapi?mbona unaongea kwa kujikatia tamaaa kiasi hicho ?Mkusanyiko wa mihunihuni inayohunikahunika viwanjani.
Muda huu, kwenye uzi huu ni mjadala wa mijitu mihunihuni inayopiga watu ngumi bila sababu.Gaborone watunze mfukoni utawatumia baadaye.Habari vipi Gaborone wako kaishia wapi?mbona unaongea kwa kujikatia tamaaa kiasi hicho ?
Uhuni ni nini? Japo sijakipenda kitendo kile ila naamini kulikuwa na jambo kwasababu haiwezekan apige tu ngumiMuda huu, kwenye uzi huu ni mjadala wa mijitu mihunihuni inayopiga watu ngumi bila sababu.Gaborone watunze mfukoni utawatumia baadaye.
Ndiyo mwisho wake wa kutafakari mambo akaona arushe ngumi?Uhuni ni nini? Japo sijakipenda kitendo kile ila naamini kulikuwa na jambo kwasababu haiwezekan apige tu ngumi