Nimeona watu wengi wanalalamika sana kuhusiana na kufukuzwa kazi aliyekuwa kocha wa yanga.
Mimi siafiki lawama kutupiwa Hersi.
Sababu ziko wazi kabisa yeye licha ya kuwa Engineer wa kusoma,lakini anafanya uhandisi mkubwa nje ya uwanja kuwezesha wao kupata ushindi.
Sio ajabu kuona anachukua waliokuwa wachezaji wa Simba kwa sababu moja ya mbinu chafu aliyoitumia ni kuwaaambia wacheze chini ya kiwango mechi muhimu ili Simba iwaachie.
Lakini pia zile kafara za ng'ombe na kuwapa mashabiki supu,kuwatumia wazee wa yanga,matumizi ya madawa na nguvu za majini ndivyo vilikuwa sababu ya wao kuonekana hawafungiki.
Baada ya kimtibua mzee wa kurujuani,na wakibaki na kibri,wataendelea kushuhudia timu yao inavyorudi kuwa topolo lililokubuhu