fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
namshauri hersi aongee na mayele,kumsikiliza anasemaje,na utaona nini la kumsaidia,anahitaji msaada mkubwa sana
Ili iweje? Ukisikia shobo ndio hizo. Sio ajabu wewe ni miongoni mwa watanzania wakiona Mayele kapost lazima mwende ku comment. Kila mmoja aishi maisha yake, Mayele ni mtafutaji mwacheni atafute anapoona yeye akiona yamemshinda atajua yeye mwenyewe atatue vipi changamoto zake. Shobo sio nzurinamshauri hersi aongee na mayele,kumsikiliza anasemaje,na utaona nini la kumsaidia,anahitaji msaada mkubwa sana
hapana he is sick kumbuka kanunuliwa kwa fedha nyingi sasa pryamid wavunje mkataba bila wao kupaya kitu,itawezekana?Mayele kakutuma mkuu?