Yusuph Salehe
Member
- Nov 12, 2010
- 58
- 1
Wana JF kama kunamtu yeyote anaefahamu lolote kuhusiana na mikoa mingi ya Tanzania bara kuishia na herufi 'A' na sio herufi nyingine. Mfano mikoa isiyoishia na herufi 'A' ni kama LINDI, MOROGORO, KILIMANJARO, DAR ES SALAAM na PWANI (mikoa mipya haijahusishwa) lakini yote iliyobaki inaishia na 'A'. Kwa mwenye kujua atueleze au unahisi ni kwa nini?
Mwl nyerere alikuwa mshairi,mkali wa vina na mizani! Natania mjomba.
majina ya mabara yote, herufi ya mwanzo inafanana pia na herufi ya mwisho
Africa, America, europe, Asia, Australia
majina ya mabara yote, herufi ya mwanzo inafanana pia na herufi ya mwisho
Africa, America, europe, Asia, Australia