Herufi kubwa

The navi 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
352
Reaction score
46
Kwanini mtu hatakiwi kuandika habari kwa herufi kubwa??
Je, herufi kubwa inamaanisha nini??
Msaada.
 
Kwanini mtu hatakiwi kuandika habari kwa herufi kubwa??
Je, herufi kubwa inamaanisha nini??
Msaada.

Herufi kubwa ina sehemu zake za kutumika kama mwanzo wa sentensi , jina n.k

Nijuavyo..kwenye internet ukiandika kwa herufi kubwa maana yake you are shouting
 
Herufi kubwa ina sehemu zake za kutumika kama mwanzo wa sentensi , jina n.k

Nijuavyo..kwenye internet ukiandika kwa herufi kubwa maana yake you are shouting

shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…