Herufi tatu (3) tu!

Herufi tatu (3) tu!

ngasha

Senior Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
145
Reaction score
74
Ni ka-mchezo rahisi sana ila nahisi wengi watashindwa na matokeo yake wataishia kusoma na kuondoka.
Ka-mchezo kenyewe no hivi kila mtu awake neno moja tuu ambalo lina herufi tatu
Mfano. Saa, Taa, Paa, Jua ....

Usirudie la mwenzako, wavivu kufikiri utawaona .... Kimyaaaa !!
 
Tua,Tia,pia,poa,zoa,oza,uza,utu,kua,mti,Kia,lia,paa,Lea,loo,kaa,koa...
 
Back
Top Bottom