Herufi za speed kwenye tairi

Makobus

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
169
Reaction score
110
Habari ndugu zangu.

Nimedokezwa kuwa speed inayotakiwa gari kwenda kwa tairi husika huandikwa kwa kiwakilishi cha herufi, mfano, A, B, C na kuendelea.

Naomba anayejua hili anijulishe kila herufi na kilometa zake.

Ahsanteni
 
Tulia Hapa Hapa Ili

BRIDGESTONE , DUNLOP, KUMHOO, MICHELINE, LINGLONG, YANA Na Wengine

Wanaleta Nondo Mujarabu Usuuze Nafsi Yako
 
E_70km/h
F_80km/h
G_90km/h
J_100km/h
K_110km/h
L_120km/h
M_130km/h
N_140km/h
P_150km/h
Q_160km/h
R_170km/h
S_180km/h
T_190km/h
U_200km/h
H_210km/h
V_240km/h
W_270km/h
Y_300km/h
Z_240km/h over

Nb
Kwenye tyre utakuta wameandika mfano kwenye tyre ya Goodride size 205/55/R16 kuna sehemu wameandika 91V, hiyo V ina wakilisha speed na hiyo 91 ni load index(haipo kwenye swali lako)
 
Nashukuru sana kiongozi wangu. Ila, naomba sasa uniongezee elimu ya 'load index' ambayo sikuuliza kwenye swali langu. Ahsante sana.
 
Nashukuru sana kiongozi wangu. Ila, naomba sasa uniongezee elimu ya 'load index' ambayo sikuuliza kwenye swali langu. Ahsante sana.
Hizo namba pia zinawakilisha uzito unaoweza kumudu kila tairi na hiyo ndio load index

Kwa wengine utakuta anaeekewa tairi lolote tu mradi gari liende
Always weka matairi halisi yanayoendana na Gari lako

Ajali nyingi hutokea kwa mambo madogo tu kwa mfano utofauti wa matairi na pia ujazo wa hewa ndio sababu kubwa sana ya ajali za kizembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…