Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Azidanganyi au hazidanyanyi?Wadau habari zenu mechi yajana imeisha na mtaani hali ni fresh kama nyimbo ya ngosha watani baada ya kupata kichapo cha goli 5 kwa nne mjadala umehamia kwa Tshimbi mara tumelamba dume wengine wanasema hooo izo tano mlizosema ziko wapi lakini wamesahau simba anaifunga yanga hata akichezesha kikosi cha pili au akiwa pungufu niliwambia ua naota siku ya mechi wengi mlibisha na matusi mengi baada ya mechi kuisha uzi wangu uliondolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe Rage simu yako ya TIGOHizo goli 5 tulizochapwa mbona wenye stats kumeandikwa Goals 0 0 ? Rage hakukosea jamani...mbu x3
Hizo goli 5 tulizochapwa mbona wenye stats kumeandikwa Goals 0 0 ? Rage hakukosea jamani...mbu x3
Vipi hesabu /takwimu za kuomba point za mezani toka FIFA
Mligomea medali za mshindi wa pili lakini mmecheza na Bingwa. Nilidhani mtagoma kwenda uwanjani
Umejiuliza kwa nini Simba walicheza rafu nyingi?ila Yondani Mungu anakuona...njia nyeupe kama Dida na Bartez
Tumeishawapa pipi, sasa tutachukua Ndoo ya ligiPambana na hali yako mkuu ,tumeishasahau kipigo tunawaza ligi sasa.
Punguza kasi Ebitoke, fuatilia mwanzo wa jambo ndio ushoboke. Kasema stats hqzidanganyi tumepigwa 5-4, ziko wapi hapo?Wewe ndo kiazi kabisa, hizo takwimu ni za dakika tisini.