Interesting!!Kwa jinsi ulivyojichanganya, huwezi kupata jibu. In maths, lazima ulichambue swali. Na hapa unafanya:
75 - Waliyotoa mwanzo
- 5 - Change
70 - Iliyobaki hotelini
+ 3 - aliyowapa mhudumu
73 - jumla yake
+ 2 - aliyobaki nayo mhudumu
75 - jumla la hesabu zima
Hivyo hakuna hela iliyopotea. Ni wao wamejaribu tu kukuchanganya. Lazima ujue pa kuanzia katika hesabu siku zote.
10 x 9 = 90 - hii ni total possible number of handshakes
90/2 = 45 - kwa sababu "a" akimshika "b" mkono, basi "b" hawezi kumshika "a" mkono tena. Hivyo inabidi tugawanye kwa mbili!!!
Answer: 45 Handshakes
Hapo kwenye bold HB unazidi kunichanganya, wamerudishiwa sh.3 hivyo wamelipa 72 na sio 73 kama unavyosema labda kuna maelezo zaidi ya kimahesabu!Wamelipa........75
Wamerudishiwa........5-2=3
Hivyo wamelipa Sh 73 na sio Sh 72
Na mchango wa Kila mmoja utakuwa 73/3= 24.33
Muhudumu kazuia mbili Sh mbili ya watu watatu ni sawa na 2/3= 0.67
24.33
+ .67
25.00 x 3= 75@3
Nililitoa ili niweze kupata jibu mimi sio mzuri sana katika anga hizi za hesabu, nashukuru kwa wote mliochangia nazidi kupata elimu zaidi ya hesabu!Mtoa mada alete majibu ya maswali hayo au kwakuwa ipo kwa jokes ndo mana hakuna kumalizia??😕
Sijakuelewa.Mafumbo haya kuharibiana mood, mplekeeni yule mzee wa kirusi, ukwey walitoa sh75 yaani 25 each, walivyorudishiwa sh 5 maana yake walichajiwa 70/3 anbayo ni sh 23.33333 wakaja pewa sh 1 kila moja so inakua ni sh 24.33333 maana hata sh 2 aliyochikichia mhudumu waliilipia wao
Lete basi majibu ya huyo mwanao.Hesabu huwa ni msosi wangu, hata kids zangu nao wanameza kama maji! Nilimpa kid langu la std 2 likatema jibu utadahani linalia vile........oooh kumbe ni wtz wachache tunavinjari eneo hilo bila shida!
Inataka kuwa kama hisabati za sheikh Yahya vile !Nimepewa swali la hesabu na mtoto wa darasa la nne, nimeumiza kichwa kutafuta jibu nimeshindwa, na imebidi nimdanganye kuwa ni ya chuo kikuu! Hesabu yenyewe ipo hivi:
"watu 3walikula mgahawani gharama zikawa sh.25@1. Walimpatia mhudumu sh. 75. Kaunta alimpa sh. 5 mhudumu na kumtaka awarudishie wateja hao kwani amewapa punguzo. Mhudumu wakati akiwaendea aliwaza vipi atazigawa sh. 5 kwa watu 3, hivyo akaficha sh.2 na kuwagawia sh.1 kila mtu. Sasa kila mmoja alitoa sh.24 na 24x3=72. Ukijumlisha ile sh.2 aliyochukua muhudumu zinakuwa jumla 74. Sasa ile sh.1 ipo wapi?"
with two people there is one handshake. kwa hiyo kwa watu watatu there are three handshakes ivyo ivyo kwa watu wanne there six handshakes. in general with n-1 people. the number of handshakes is the sum of the first n consecutive number; 1+2+3........-n since this sum is n(n-1)/2 we need to solve the equation n(n-1)/2=? if n=10 then 10(10-1)/2= 45Jamani na mie narusha ka-hesabu kangu haka.....
At the end of a banquet 10 people shake hands with each other. How many handshakes will there be in total?
Unamikwala wewe ni sawa na Jogoo anaewahi kuamka kwa kupiga kelele wakati kufungua mlango atoke nje hawezi..ngoja nikutafutie moja la hadhi yako ukipata..ntakuzawadia Backhousewhy do they call me this name? MAHESABU...? /MATHEMATICIAN....? some went as far as calling me JUJUMAN a.k.a KIPANGALA....!
because.......
nimepewa swali la hesabu na mtoto wa darasa la nne, nimeumiza kichwa kutafuta jibu nimeshindwa, na imebidi nimdanganye kuwa ni ya chuo kikuu! Hesabu yenyewe ipo hivi:
"watu 3walikula mgahawani gharama zikawa sh.25@1. Walimpatia mhudumu sh. 75. Kaunta alimpa sh. 5 mhudumu na kumtaka awarudishie wateja hao kwani amewapa punguzo. Mhudumu wakati akiwaendea aliwaza vipi atazigawa sh. 5 kwa watu 3, hivyo akaficha sh.2 na kuwagawia sh.1 kila mtu. Sasa kila mmoja alitoa sh.24 na 24x3=72. Ukijumlisha ile sh.2 aliyochukua muhudumu zinakuwa jumla 74. Sasa ile sh.1 ipo wapi?"