It is vely thimpo kweshen.
Here it comes
= 0 + 1 + 2 + 3 + 4 + 5 + 6 + 7 + 8 + 9
Meaning the
first person shook no body = 0
second person shook with one person = 1
third person shook with two person = 2
fourth person shook with three person = 3
fifth person shook with four person = 4
sixth person shook with five person = 5
seventh person shook with six person = 6
eighth person shook with seven person = 7
ninth person shook with eight person = 8
and the tenth shook with nine = 9
so the total hand shakes = 0 + 1 + 2 + 3 + 4 + 5 + 6 + 7 + 8 + 9 = 45
ebu mahesabu jarbu hii ya ukweli ukweli
Grandpa:
"My grandson is about as many days as my son is weeks,
And my grandson is as many months as I am in years.
My grandson, my son and I together are 120 years.
Can you tell me my age in years...?"
..Kama lugha itakuwa inasumbua sema nitafute mkalimani ili swali lijibiwe kibantu zaidi
hizo underlines ni kama keywords kwenye kushuka swali
Nimepewa swali la hesabu na mtoto wa darasa la nne, nimeumiza kichwa kutafuta jibu nimeshindwa, na imebidi nimdanganye kuwa ni ya chuo kikuu! Hesabu yenyewe ipo hivi:
"watu 3walikula mgahawani gharama zikawa sh.25@1. Walimpatia mhudumu sh. 75. Kaunta alimpa sh. 5 mhudumu na kumtaka awarudishie wateja hao kwani amewapa punguzo. Mhudumu wakati akiwaendea aliwaza vipi atazigawa sh. 5 kwa watu 3, hivyo akaficha sh.2 na kuwagawia sh.1 kila mtu. Sasa kila mmoja alitoa sh.24 na 24x3=72. Ukijumlisha ile sh.2 aliyochukua muhudumu zinakuwa jumla 74. Sasa ile sh.1 ipo wapi?"
Hii imekaa kikandarasi zaidi!Jamani, mimi naomba nisaidiwe kwanza hii hapa ilishanishinda, tukishamaliza tunafanya na hiyo ya huyo dogo.
Jamani, mimi naomba nisaidiwe kwanza hii hapa ilishanishinda, tukishamaliza tunafanya na hiyo ya huyo dogo.
Stating this mathematically let us initialize by defining
Grandson = G, Son = S and I = I
Week = w, Month = m and Year = y
In the language of functions this can be stated as
d (G) = w (S)
m (G) = y (I)
y (G) + y (S) + y (I) = 120
For this question to make a challenging sense you must define how many days are there in a month (or alternatively give your complete birthdates, you see some years have 365.25 days while some have 366 days), and if this grandson is the son of the son you are referring to here, and if that is the case, what is the minimum age that a person can have a child,.
Teh teh teh! Kama mimi. Lakini nimegundua math haiepukiki, nimekuja kutana nazo tena!haya masomo ya hisabati ndo sikuwahi kuyapenda kabisa maishani mwangu mote ilikuwa ni fimbo na mikwaruzano na walimu, duh mi hatasijiangaishi kukalculate