Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 609
Ha!ha,Jasusi you did not get it.
If every CCM member gets 3 other non-CCM members to vote for JK, then the total votes expected should be the 15m Non-CCM members and the 5m CCM Members, i.e 20m votes. How many Tanzanians registered to vote this election( is it close to 20m, I cannot remember, but it is not important now).
My take was that JK was asking his members not to vote for him but rather ask 15m other people to vote for him, and that was to me COOL!
Kadi za CCM zinagawiwa kama njugu, hasa wakati wa kura za maoni. Inaonekana kila mtu anayegombea nafasi katika CCM anachapisha kadi zake na kuwagawia watu ambao hawakuwa wanachama wa CCM. Nina mashaka kama CCM wanayo orodha ya uhakika ya wanachama wao. Takwimu zinatumiwa kutujenga kisaikolojia kwamba chama kina nguvu. Ukitazama matamko ya nyuma kama miaka mitatu iliyopita wameanza na namba ya 3m, wakaja 4m na sasa wanadai ni 5m. Hiyo recruitment drive imefanyika lini na wapi? Uongo mtupu.JK bado ana ndoto za kiajabu ajabu, katika hiyo hesabu ya wanachama 5m anawahesabia wengi sana ambao walishaondoka ccm siku nyingi kama akina Kuga Mziray ambaye amesema ana kadi ya ccm kaiweka kwenye kumbukumbu zake ili akiingia madarakani atumie kuwadai michango yake aliyowachangia, tehe tehe.
My take: ccm has les than 2m members, wengi wa wanaoitwa wanachama wa ccm hawachangii michango halali ya chama au walishajiunga na vyama vingine vya siasa bila kurudisha kadi na wengine wanagombea nafasi mbalimbali kupitia vyama vingine.
Ukiniuliza kwa nini ninaweka hii posting sitakuwa na jibu! Ila imenifurahisha kwamba JK anadai CCM ina wanachama 5m. Akamtaka kila mwanachama akamate watu watatu ambao sio wanachama. Halafu akapata jibu, kwamba atapata sasa support kutoka kwa watu 15m! Je amepatia hesabu au kalamba chini. Msilikize
http://www.youtube.com/watch?v=3L-3ayFRk1E&feature=related