Hesabu ya siku kwa Dereva wa Uber ni kiasi gani?

Hesabu ya siku kwa Dereva wa Uber ni kiasi gani?

hbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
678
Reaction score
298
Habari ya leo wakuu, naomba kufaham kwa kawaida hesabu ya siku ya kupeleka kwa mwenye gari ni sh nga kwa Uber?
Asanteni sana.
 
Bado hesabu ni 30,000 au imebadilika wakuu
 
30,000 ya tajiri bado mafuta, bundle, 25% ya uber, service ya gari
 
Back
Top Bottom