Hesabu za CBE

Hesabu za CBE

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Wadau nitajiunga na Diploma ya uendeshaji wa Biashara pale CBE.

VVipi hesabu zake maana nina credit.7o.level lakini sina background nzuri ya maths. Vipi marketing?
 
Acha uwoga wewe kijana. Nenda kapambane na masomo. Usiogope hesabu. Kila kitu katika dunia hii ni hesabu.
 
Nenda Kasome Accountancy, kila kilaza anakimbilia Marketing acha uoga
 
Wadau nitajiunga na dipl.ya uendeshaji wa biasha pale CBE. Vipi hesabu zake maana nina credit.7o.level lakini sina background nzuri ya maths. Vipi marketing?

Alafu si ajabu ni wa kiume alafu unaogopa hesabu!!! What is background?? Nenda kasome kijana acha uoga usio na maana!!
 
Najuuuta kuingia jukwaa la mulugo tutasikia mengi kutoka kwa wa divisheni 5............
 
Alafu si ajabu ni wa kiume alafu unaogopa hesabu!!! What is background?? Nenda kasome kijana acha uoga usio na maana!!

mkuu ulimaanisha 'what is your background'? ama unataka definition ya background?
 
Wadau nitajiunga na dipl.ya uendeshaji wa biasha pale CBE. Vipi hesabu zake maana nina credit.7o.level lakini sina background nzuri ya maths. Vipi marketing?
Tafuta vitabu vya Mr. Omary M. Kiputiputi uvimeze hivyo. Hapo utakua umemuweza Mwl. Msisi! !
 
Bussines maths sio ngumu zinaeleweka mkuu...coz zote zinahesabu pale CBE ata marketing inahesabu masomo anayosoma mtu wa account, procurement,marketing, business administration,legal metrology all most the same tofauti ni kwenye core subject tu...
 
Huyu jamaa anaanza hiyo stashahada kwa mwaka gani wa masomo? Mbona kama anatuzingua tu hapa?
 
Back
Top Bottom