ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Wakuu Habari,
Naona sasa kila msemaji wa club 3 za juu kwenye ligi kuu tanzania bara anasema kuwa timu yake ina nafasi ya kubeba ubingwa, nafikirii hii inakuja kwasababu hadi sasa hakuna timu ambayo imetangazwa kuwa bingwa.
Lakini wakuu kuna zile hesabu za ubingwa ambazo huwa zinapigwa na na kuna mechi moja huwa inasubiriwa kwa hamu kwa timu fulani kutangazwa kuwa bingwa.
Kwa kuzingatia ratiba ya ligii kuu tanzania bara hesabu za
1. SIMBA SC
2.YANGA FC
3. AZAM FC
Zimekaaje kuelekea Kutangazwa Kuwa Bingwa? Ukizingatia Mechi Inayofuata Simba Anacheza Na Ruvu Shooting.
Si vibaya tukajifundisha kufanya hizi hesababu au tukajikumbusha hesabu za ligi kuu tanzania bara sasa zimekaaje kuelekea kutangazwa kwa bingwa kabla ya msimu kuisha.