Hesabu zinambeba Yanga SC kuwa bingwa CAFCC 2023

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Njia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi.

1. US Monastir
2. Young Africans SC
3. Real Bamako
4. TP Mazembe

(Kimsingi tutamaliza tukiwa nafasi ya pili)

Ambapo posible opponents wetu watakuwa ni wale walio ongoza makundi yao ambao ni aidha:

1. Rivers United
2. Malumo Galants
3. Far Rabat

Yanga SC atapangiwa - Far Rabat
Rivers United atapangiwa Malumo Galants

Kwa namna Yanga SC wanavyowaoneaga Waarabu basi matokeo yatakuwa

1st leg: Yanga SC 2 - 0 Far Rabat.

2nd leg: Far Rabat 1 - 1 Yanga SC.

Yanga SC atacheza fainali dhidi ya Malumo Galants.

FINAL:-

1st leg: Yanga SC 1 - 0 Malumo Galants.

2nd leg: Malumo Galants 1 - 1 Yanga SC.

YANGA SC BINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA 2023.
 
Ukiangalia trend ya matokeo kwenye haya mashindano, utagundua kwamba timu nyingi zinazoshiriki hazitofautiani sana uwezo na Yanga. Hivyo Wananchi wakichanga karata zao vizuri, lolote linaweza kutokea.

Ni tofauti kabisa na ule upande wa pili ambako kuna timu piga ua! Lazima zifike fainali, na ikiwezekana kuchukua kabisa ubingwa! Imagine timu kama Mamelody Sundowns, Aly Ahly, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Eperance, nk.

Hivi wadogo zetu watapitia wapi ili kufika hiyo fainali? Huku wakiwa na kikosi cha wachezaji wale wale! Maana hata kwenye mashindano tu ya ndani ya ASFC, wachezaji wanapangwa wale wale!! Watafika kweli hata kwenye hatua ya nusu fainali? Mara zote safari yao itakuwa inafikia tamati kwenye hatua ya Robo fainali tu.
 
Pale washiriki wa Kombe la WASHINDWA (LUZA) Kombe la VIBONDE (Looser) wanajifariji na kujipa moyo.
Hapa nimeongea kitaalam. Yanga ana nafasi kubwa ya kusonga mbele ukilinganisha na simba. Ingawa sikatai lolote linaweza kutokea kwenye mpira wa miguu.

Hayo mambo mengine uliyoandika hapo, ni mtazamo wako.
 
Ukiangalia trend ya matokeo kwenye haya mashindano, utagundua kwamba timu nyingi zinazoshiriki hazitofautiani sana uwezo na Yanga. Hivyo Wananchi wakichanga karata zao vizuri, lolote linaweza kutokea.

Ni tofauti kabisa na ule upande wa pili ambako kuna timu piga ua! Lazima zifike fainali, na ikiwezekana kuchukua kabisa ubingwa! Imagine timu kama Mamelody Sundowns, Aly Ahly, Raja Casablanca, Wydad Casablanca, Eperance, nk.

Hivi wadogo zetu watapitia wapi ili kufika hiyo fainali? Huku wakiwa na kikosi cha wachezaji wale wale! Maana hata kwenye mashindano tu ya ndani ya ASFC, wachezaji wanapangwa wale wale!! Watafika kweli hata kwenye hatua ya nusu fainali? Mara zote safari yao itakuwa inafikia tamati kwenye hatua ya Robo fainali tu.
Simba SC wataishia Robo Fainali.

Hawana mpira mzuri wa kushindana na ma-GIANTS.
 
Hapa nimeongea kitaalam. Yanga ana nafasi kubwa ya kusonga mbele ukilinganisha na simba. Ingawa sikatai lolote linaweza kutokea kwenye mpira wa miguu.

Hayo mambo mengine uliyoandika hapo, ni mtazamo wako.
Achana na mlevi huyo...
 
Simba SC wataishia Robo Fainali.

Hawana mpira mzuri wa kushindana na ma-GIANTS.
Ngoja tuone maajabu. Maana piga ua lazima watapangwa tu na Mwarabu. Na simba kwa Mwarabu hajawahi kufurukuta. Anaweza akashinda goli 1 kwa Mkapa, halafu akifika Uarabuni anapigwa 5!

Kinyume na hapo anaweza kupigwa nje ndani, kama atakavyo mfanyia Raja Casablanca kwenye mechi yao ya mwisho.
 
Njia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi.

1. US Monastir
2. Young Africans SC
3. Real Bamako
4. TP Mazembe

(Kimsingi tutamaliza tukiwa nafasi ya pili)

Ambapo posible opponents wetu watakuwa ni wale walio ongoza makundi yao ambao ni aidha:

1. Rivers United
2. Malumo Galants
3. Far Rabat

Yanga SC atapangiwa - Far Rabat
Rivers United atapangiwa Malumo Galants

Kwa namna Yanga SC wanavyowaoneaga Waarabu basi matokeo yatakuwa

1st leg: Yanga SC 2 - 0 Far Rabat.

2nd leg: Far Rabat 1 - 1 Yanga SC.

Yanga SC atacheza fainali dhidi ya Malumo Galants.

FINAL:-

1st leg: Yanga SC 1 - 0 Malumo Galants.

2nd leg: Malumo Galants 1 - 1 Yanga SC.

YANGA SC BINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA 2023.
Timu nyingi za shirikisho za msimu huu ni za kawaida sana tofauti na zile za msimu uliopita
 
Back
Top Bottom