Heshima anayopewa Messi na Argentina star mwingine yupi anapewa?

Utamchukia ila utazunguka koote ila kwake utarudi tu..ni sawa na mwanamke aliamuacha mwanaume mwenye mpunga mrefu..atapiga mark time huko ila akikumbuka pesa ilivyo tamu atajirudisha tu
 
Heshima anayopewa Leonel Mess na wachezaji wenzake wa Argentina, ni mchezaji mwingine yupi wa timu ya Taifa duniani anayepewa heshima kama hiyo?
maana Messi ni MBUZI ndo maana anapewa heshima na kila mtu
 
Ile sio heshima, ule ni upumbavu, Huwezi kukuta upumbavu kama ule nchi za ulaya. Yani wanaume wazima kabisa wanamuabudu mwanamme mwenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…