chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Ushawahi jiuliza ukisikia spika wabunge nchi fulani ndani ya bunge akitoa maamuzi nchi nzima husimama kwa umakini kabisa kujua nini kinaelezwa.
Tofauti na huku kwetu japo ilikuwa zamani kipindi cha mkapa ukiona katokea kutoa hutuba kwenye TV basi mnakuwa makini kusikiliza.
Ila kwa sasa hata wakinitangazia kokote kwenye barabara, redio,tv na mitandao ya kijamii nahisi kama wote ni baba Levo na Mwijaku