BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani.
Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi.
Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa serious unaweza kuwa dereva mzuri kupitia video tutorial za YouTube driving schools ukapita ili kukamilisha taratibu za kupata leseni ya udereva.