stunna
JF-Expert Member
- Nov 7, 2013
- 258
- 147
Niliona uzi humu ndani wa tiba za dawa ya kutibu jino nikafatilia na nikaamua kuiapply na kweli matokeo yake nimeyaona nimeamua kurejesha humu ndani ili kumshkuru ndug MziziMkavu.
Mke wangu alikuwa anasumbuliwa na meno kwa miaka kama 10 hivi alikuwa ameishia kuyang'oa tu na alikuwa akila chakula anamung'unya lakini tangu nimuambie awe anasukutua mkojo wake wa asubuhi sasa ni miezi kama miaka5 maumivu ya meno yamebaki kuwa historia na chakula anatafuna hata kwa yale meno ambayo yalikuwa yamekatika yamebaki vipande.
Heshima kwako mkuu MziziMkavu kwa dawa yako ya mkojo.