Taifa Teule
Member
- Sep 13, 2017
- 7
- 0
Mbona sasa hujaweka picha yako mkuuKichwa kipya javini. Nipo kwa ajiri ya kujifunza, kushea mawazo pia kuburudika nanyi, naomba mnipokee wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Id yako ya Zamani ni ipi?Kichwa kipya javini. Nipo kwa ajiri ya kujifunza, kushea mawazo pia kuburudika nanyi, naomba mnipokee wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji84] [emoji84] [emoji84]Rudi shule kwanza kijana kubadiri ndo mlivyofundishwa??
Sore mkuu joseverest kwa kukaimu kiti chako kwa mda
wewe ni mgeni nani kakwambia hakuna ulazima??
[emoji120] [emoji120] [emoji120]wewe ni mgeni nani kakwambia hakuna ulazima??
Aisee