Heshima ndogo ya Simba iliyobaki inaenda kumalizikia Super League

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league.

Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo.

Wazee wa ten pasenti mbona hamna huruma jamani mnaokoteza tu wachezaji
 
"Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo"

Unaumia sana Simba kushiriki ilhali nyinyi uwezo wenu mdogo hamshiriki siyo.ulifikiri Simba ni level yenu kimataifa au kwakua unamfunga unadhani mmemaliza.
 
Nyie wazee wa ligi ndogondogo hamuwezi elewa mambo ya maligi makubwa makubwa. Na bado simba sio levo yenu endeleeni kuikamia kwa nkapa mkifikiri kuifunga simba ndio kujitambulisha afrika.
 
Hata bingwa wa NBCPL kucheza kombe la losers ( CAFcc) ni kupoteza heshima wakati mshindi wa pili anacheza ligi ya mabingwa (CAFCL )
 
Mmeibuka na uzi mwingine tena hii super League itawatoa watu Roho kila day nyuzi mpya Simba Simba 🦁🦁🦁 tulieni basi ata kama inahuma
 
Ukiona inauma chomoa
Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league.

Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo.

Wazee wa ten pasenti mbona hamna huruma jamani mnaokoteza tu wachezaji
 
Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league.

Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo.

Wazee wa ten pasenti mbona hamna huruma jamani mnaokoteza tu wachezaji
Nyie [emoji196][emoji196] ndo mnatakiwa mjitoe maana hamna umuhimu kwenye rubaa za Kimataifa
 
Kuingia tu kwenye hayo mashindano ni heshima tosha na kubwa bila kujali matokeo yatakuwaje..
Endeleeni huko huko na ma looser wenzenu.
 
Ni kweli mkuu Yani Mo Huwa sijui ni tajiri Muwekezaji wa Aina Gani.

Yni ni BAHILI BAHILI sijawahi kuona
 
Tutatengeneza Simba mseto. Sajili kwa mkataba maalumu baadhi ya wachezaji kutoka Azam, Yanga na Singida big stars.

Tutavuka tuu.
 
Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league.

Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua cairo kuomba hilo.

Wazee wa ten pasenti mbona hamna huruma jamani mnaokoteza tu wachezaji
Utakuwa Topolo..
 
Back
Top Bottom