Nilishituka awamu ya tano kumteua mke wa Rais mstaafu kuteuliwa kuwa mbunge viti maalum(ulikuwa ni udhalilishaji wala haikuwa heshima)
Nimeshituka mke wa Rais kudai mafao mara wakimaliza mda wao.
Sasa tuna Rais Mwanamke,ambaye naye atataka mafao huku alikwisha staafu?
Kuwa mke au mme wa Rais ni heshima kubwa sana,kuwateua na kuwapitisha kwenye vyeo hivi vya chini nikuwavunjia heshima nakuwadharilisha kiutu.
Wawekewe posho maalumu kisheria wakistaafu hakuna pension.