Papaa Riziki
New Member
- Sep 7, 2022
- 3
- 2
Heshima ni nini?Ni kukaa viti vya mbele kwenye magari au hafla mbalimbali? La hasha!
Baba mzazi Fulani alisikika akimlalamikia mwanae baada ya kumuweka mkewe kukaa kiti Cha mbele kwenye gari na yeye mzazi kukaa kiti Cha nyuma.
Alisema"Hivi Josefu unajisikiaje Mimi baba yako kukaa kiti Cha nyuma?
Josefu akamjibu ni heshima zaidi kwani hata viongozi wakubwa serikalini huwa hawakai viti vya mbele.
Mbele hukaa walinzi wao lakini hiyo haimaanishi yule mlinzi aliyekaa mbele ni mkuu zaidi.Baba aliishiwa maneno.
Kumbe heshima ni zaidi ya kukaa viti vya mbele bali ni kujali wengine, kujiheshimu na kuheshimu wengine, kumcha Mungu na matendo mema kwa ujumla wake.