Heshima ya mama amevuliwa .

Heshima ya mama amevuliwa .

Na wewe sio Mwanawe vilevile.
Wewe ni
Mwana mpotevu, wala si mwana wa kheri.
Tena ni mbabaifu, unaejifanya hodari
Wakati mwengine hujifanya mnyofu. Kumbe ni hatari.
Mwana wewe ni mtovu, wa adabu na kiburi.
 
Mama ni mlezi,mama ni mfariji na mama ni mwenye huruma.Mama huwa mpole na mnyenyekevu.Huyu amekuwa kama mfalme wa wamoabi,mbabe na si mama.Namkataa na mabavu yake yote,mimi si mama yangu.
Mama ni mama tu, hakuna mbadala wake. Hata akikasirika ni ili mtoto ajirudi lakini kamwe mama wa kweli hatamdhuru mwanae kwa sababu yoyote.
 
Na wewe sio Mwanawe vilevile.
Wewe ni
Mwana mpotevu, wala si mwana wa kheri.
Tena ni mbabaifu, unaejifanya hodari
Wakati mwengine hujifanya mnyofu. Kumbe ni hatari.
Mwana wewe ni mtovu, wa adabu na kiburi.
Nimemkataa mama ye nu chura kiziwi
 
Attachments

  • GVmaFWbbgAAqkQ4.jpg
    GVmaFWbbgAAqkQ4.jpg
    152 KB · Views: 2
Rais ni mwajiriwa wa wananchi,

Kila mtu ana mama yake, hata wewe mamako unaye na ni MMOJA tu.

Acha kujipendekeza Kwa mama wa wenzio Kwa kuwa wanakula vizuri.
 
sijui pale ikulu kuna nini??? Mtu anaweza kuingia akaonekana mzuri mwanzoni ila akabadilika baada ya kuzungukwa na machawa!!
Ni kama ilivyo kwa madereva bodaboda. Unakuta aliyekuwa dereva wa kiongozi fulani, akiingia tu kwenye kuendesha bodaboda anakuwa kama wao..!! Ndo nature ilivyo, automatically unaadapti mazingira uliyopo, na pengine bila hata wewe kujua.

Mchukue mngoni wa Lipalamba leo hii na kumpeleka Kishumundu, wallahi kiswahili chake kinageuka toka cha kingoni na kuwa cha kichaga..!!
 
Mama ni mlezi,mama ni mfariji na mama ni mwenye huruma.Mama huwa mpole na mnyenyekevu.Huyu amekuwa kama mfalme wa wamoabi,mbabe na si mama.Namkataa na mabavu yake yote,mimi si mama yangu.
Kwani mama yako anaitwa nani? Alibeba mimba yako,akakuzaa na kukulea halafu unamkana hivi. Inafikirisha sana.
 
Mama ni mlezi,mama ni mfariji na mama ni mwenye huruma.Mama huwa mpole na mnyenyekevu.Huyu amekuwa kama mfalme wa wamoabi,mbabe na si mama.Namkataa na mabavu yake yote,mimi si mama yangu.
Huyu si mama kabisa hata ndoa alikuwa mke wa tatu reject! Mrupo mkubwa umezaa na jakaya na wengi wengineo! Ana majeraha makubwa ya wanaume waliokula na kuacha na sasa yuko kwenye state of denial ya kufa mtu! Ni Jexebel proper
 
Back
Top Bottom