Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Dunia inaenda kasi sana ,yaani aliyezaliwa 2000 ni baba na wamama ni wengi zaidi,shida siyo umri,ila ni majukumu yanapokuja ikiwa huna kitu.
Nakukumbusha majukumu na hatua za kuchukua kwa nguvu na kwa kulazimisha haswa kwa vijana ambao hawajaoa bado na wana maisha aidha mazuri au bado wanajitafuta
1.jitambue angle uliyopo
Kama unajijua huna elimu wala ujuzi wa kutosha jitahidi kuzoea kazi ngumu,kama saidia fundi,kulima, kubeba mizigo mizito(ukuli) na vingine vingi vyenye kuleta riziki halali.
2.Ishi kulingana na mazingira
usilete elimu na ujuzi wako hata kama unaweza kwani kuna kazi hazihitaji elimu yako moja kwa moja bali uzoefu na mazoea ya uliowakuta.huenda ni kweli wewe ni computer engineer lakini anza kuona mfumo wanaotumia wengi kabla hujaingiza mfumo wako hata kama wao wanakosea na wewe unapatia,wengi wape.
3.Heshimu kila mmoja
hii ni siri iliyojifisha na wengi hujitajidi kuifuata lakini hushindwa kuiishi kwasababu tu ya vipato na maisha mazuri,hivyo hujikuta wanawadharau na kuwadumb kiaina wenzao bila kujijua.
Hebu fikiria,unaamka asubuhi unatumia elfu 7000 hadi 15000 kwa break fast tu ukiwa alone ,halafu jirani yako anatumia 3000 kununua maboga mawili kisha kula na familia nzima,hapo hapo anachukua vipande viwili kwenye sahani kuukuu na kukuletea,kisha unapokea na kushukuru,halafu unaingia navyo ndani kisha
Unaviangaliaaa unatikisa kichwa kwa dharau kwa kuona hauwezi Kila. My Friend acha,punguza kinyaa Mwanaume anaishi kivyovyote vile.
4.Gari lako chukulia kama gari la familia.
Jenga utaratibu wa kusaidia wasiojiweza,mtaani kwako Kuna wajawazito,walemavu,wazee na wengi wanaohitaji usafiri lakini hawana uwezo wa kumudu gharama,hivyo jitahidi kulingana na uwezo wako.
5.Punguza kutongoza ovyo.
Ukiwa na maisha fulani mazuri ni rahisi kushobokewa na wake za watu,na wasichana wa kila aina,my friend nisiongee sana huu mtego umeondoka na vijana wengi.tunabaki kusema ahadi ilifika.
5.Acha kubembeleza mapenzi .
Moja ya vitu vinachelewesha maisha ni kung'ang'ania mapenzi aisee my friend jitahidi kumuacha aende hata kama unamkubali sana.
6.Jizoeshe kutembea na pesa
Yaani kama unataka kwenda kula bata kwa bajeti ya 200k mfano,basi hakikisha unayo nyingine kama hiyo,yaani uwe na 400k. Kifupi uwe na mara mbili ya kiasi cha pesa uliyopanga , maana Kuna dharula huwa zipo tu.
7.Heshimu watu uwapo sehemu za starehe
Mfano uko peke yako halafu ukagundua Kuna mtu na demu wake wapo pale halafu hawana hela ,usije ukachukua demu wa mtu kisa tu unazo.
8.Punguza ujuaji.
Hata kama unajua vitu vingi,umesafiri sehemu nyingi,jitahidi kusikiliza zaidi kuliko kuongea hii itakufanya ujue mengi zaidi.
9.Kuwa na hofu ya Mungu.
Dunia ni uwanja mpana wenye Kila aina ya watu wenye tabia mbalimbali,wachokozi,waongo,wenye viburi na visilani,na wenye maudhi,lakini ukiwa na hofu ya Mungu ni rahisi kuwa handle na kuwachukulia poa
10.Ishi maisha yako.
Maisha Yana kanuni zisizohesabika ,hivyo wewe ishi ili mradi usivunje Sheria.