Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Dah! Vidal akipigwa red ntakutafuta mkuuBarca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
Kabisa !Madrid mbeleko ya refa wa EPL imemvusha.Hawa marefa wa EPL wahuni sana ndo maana FIFA imewaacha kwenye World CUP
Kwa mechi ile nilivyoangalia bila kuweka ushabiki kuanzia dakika ya 75 Juventus walikua wamechoka sana na kulikua kuna kila dalili ya wao kufungwa, hata refa asingetoa penati(ilikua halali kwake kuitoa) bado katika zile dakika 120 Juve wangefungwa tu tena zaidi ya goli moja.Baada AS ROMA kuifungisha virago FC BARCELONA kwa kipigo cha mbwa koko na Kibibi kizee JUVENTUS kuitandika REAL MADRID nyumbani kwao kwa idadi kubwa ya magoli , na kuokolewa na mwamuzi ( ambaye tetesi zinadokeza kwamba alikula rushwa ) , Heshima ya Ligi kuu ya Italia maarufu kana Serie A imerudi kwa kishindo.
Huo ni utabiri ambao haukutimia mjomba , mambo ya "Wange " , " Tunge " hayana nafasi wakati huu , kwani juve hawakuwa na watu kwenye benchi ?Kwa mechi ile nilivyoangalia bila kuweka ushabiki kuanzia dakika ya 75 Juventus walikua wamechoka sana na kulikua kuna kila dalili ya wao kufungwa, hata refa asingetoa penati(ilikua halali kwake kuitoa) bado katika zile dakika 120 Juve wangefungwa tu tena zaidi ya goli moja.
Kuingia kwa Asensio, Lucas na Kovavic kuliwaboost Madrid na hata Marcelo alikua keshaanza kupandisha mashambulizi.
I stand to be corrected!
Huo ni utabiri ambao haukutimia mjomba , mambo ya "Wange " , " Tunge " hayana nafasi wakati huu , kwani juve hawakuwa na watu kwenye benchi ?
Forza ItaliaBaada AS ROMA kuifungisha virago FC BARCELONA kwa kipigo cha mbwa koko na Kibibi kizee JUVENTUS kuitandika REAL MADRID nyumbani kwao kwa idadi kubwa ya magoli , na kuokolewa na mwamuzi ( ambaye tetesi zinadokeza kwamba alikula rushwa ) , Heshima ya Ligi kuu ya Italia maarufu kana Serie A imerudi kwa kishindo.
Acha wivu wewe! KajinyeeBarca imekua timu ya kiboya yan hata fulham FC angelinda agg. Ya 4-1....by the way nani asiye jua kua Madrid wanakuaga 12 uwanjani pamoja na refa ....kama sikosei mchezo ujao Vidal ananyekundu tayari
Pole sana!Huo ni utabiri ambao haukutimia mjomba , mambo ya "Wange " , " Tunge " hayana nafasi wakati huu , kwani juve hawakuwa na watu kwenye benchi ?
Yule refa hakufungiwa. Ni Story Za kwenye Vikao vya gahawa zilizozagaa karibia nchi mzima. Si Ajabu ukakuta EFM Na Clouds sports bar wana hii hoaxSijaona sababu ya kurudi heshima ya serie A kisa kuofunga barca naadrid wakati wanamisimu zaidi ya 10 hawajachukua champions league heshima ya league huanzia kwenye cousin stance yake kwenye michuano kikubwa kama UEFA sasa kwa msimu huu tu tena ndio wako nusu mnaanza kuwapamba kiasi hiki
Alafu. Kitu mnasahau kwamba refa haongozwi kwa mihemko ya mashabiki anaongozwa. Kwa kanuni na sheria za. Soka hakuna sababu yasingi kusema et marefa waipendelee Madrid wao ni nani lakin pia kama refa akikosea huwa tunaskia kafungiwa au kapewa adhabu mafanozuri ni
Yule alie chezesha second leg ya marca vs PSG mwaka jana ilikuwa dhahiri kabisa na UEFA wakatake action
Lakin hakuna refa kawahi chezesha mechi ya Madrid had akafungiwa
Tuache mihemko tuzungumzie soka
Serie A bado sanaaaa kupata heshima yake ya miaka 10-15 iliyopita
Yule refa hakufungiwa. Ni Story Za kwenye Vikao vya gahawa zilizozagaa karibia nchi mzima. Si Ajabu ukakuta EFM Na Clouds sports bar wameingia mkenge wa hii hoaxSijaona sababu ya kurudi heshima ya serie A kisa kuofunga barca naadrid wakati wanamisimu zaidi ya 10 hawajachukua champions league heshima ya league huanzia kwenye cousin stance yake kwenye michuano kikubwa kama UEFA sasa kwa msimu huu tu tena ndio wako nusu mnaanza kuwapamba kiasi hiki
Alafu. Kitu mnasahau kwamba refa haongozwi kwa mihemko ya mashabiki anaongozwa. Kwa kanuni na sheria za. Soka hakuna sababu yasingi kusema et marefa waipendelee Madrid wao ni nani lakin pia kama refa akikosea huwa tunaskia kafungiwa au kapewa adhabu mafanozuri ni
Yule alie chezesha second leg ya marca vs PSG mwaka jana ilikuwa dhahiri kabisa na UEFA wakatake action
Lakin hakuna refa kawahi chezesha mechi ya Madrid had akafungiwa
Tuache mihemko tuzungumzie soka
Serie A bado sanaaaa kupata heshima yake ya miaka 10-15 iliyopita
Kabla hata mpira kuanza R.Madrid wanakuwa na uhakika wa penati yaoMadrid mbeleko ya refa wa EPL imemvusha.Hawa marefa wa EPL wahuni sana ndo maana FIFA imewaacha kwenye World CUP
Mwisho wao umefika sasa. Lile babu la Bayern Munich ni habari nyingine. By now litakuwa lilishaanza kuwaanalyse jinsi ya kuwazuia na kuexploit makosa yao mengi, ambayo hata mimi layman tu nayafahamu.Madrid mbeleko ya refa wa EPL imemvusha....