Ha ha ha ha! Mimi ndo sitaki kabisa uniamkie, we sema tu 'habari gani' inatosha!...Siku hizi hata msichana akikutana na mzee wa umri wa babake anajifikiria mara 2 kuhusu kumpa shikamoo...
nyie ndo mkiamkiwa mnajibu "asante bintiiii"Ha ha ha ha! Mimi ndo sitaki kabisa uniamkie, we sema tu 'habari gani' inatosha!
...Ni kweli ninachoona mimi tatizo ni hivyo vibinti kwa kweli utadhani wote mwalimu wao mmoja. Kwa mfano vimekuwa vinajiamini mno kiasi kwamba hata anapokutana na huyo mbaba wa makamo nadhani anakuwa na hisia 2 kichwani kwamba ya kwanza nimpe shikamoo na ya pili akiniambia kitu sikatai.matokeo yake na hizo njemba zinapitiliza tu mwishowe inabaki kuwa "uncle XY mambo vipi?"Wandugu nimeobserve ki2 kimoja nadhani mtakubaliana na mimi. Lately heshima kwa wababa imeshuka sana tena hata kuliko kwa vijana wa 25-35 kutokana na tabia za kifataki zilizokithiri. Siku hizi hata msichana akikutana na mzee wa umri wa babake anajifikiria mara 2 kuhusu kumpa shikamoo. Hii ni kutokana na tabia ya wababa wengi kutokupokea shikamoo siku hizi. Hii inanipa wasiwasi sana kwani kadiri siku zinavyokwenda hali hii inazidi. Wababa wamepoteza heshima kabisa cku hizi. Am just saying