Mkuu salamu ni kitu cha muhimu sana kwa kuanzisha mazungumzo..uzuri wa salamu ukisalimiwa uitikie na ndio maana nimeuliza naitikiaje?Vyovyote vile utakavyoitikia halafu me nashangaa sana watu wanavyoweka kipaumbele kwenye salaam
Kuna wengine wanataka uwasalimie asalaam aleykum ili kuonyesha upo upande wao yaani salam imekua kama ndiyo kipimo cha utu
Kazi kwelikweli