Kwa wale walio appeal bodi ya mikopo na sikitika kuwaambia wale wa mwaka wa kwanza mlio nyimwa na kuambiwa ni NON PRIORITY sasa HESLB wanawaita ni UNSUCCESSFUL na wamenyimwa tena. kamakawaida waswahili wanasema ALIYEKUWANACHO ATAONGEZEWA na ndivyo ilivyo tokea wamepewa(wameongezewa) wale tu waliopewa mwanzoni na waka appeal ili waongezewe mahela ya bodi check link below SUCCESSFUL FIRST YEAR APPELLANTS SUCCESSFUL CONTINUING APPELLANTS