Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshatoa,majina vyuoni kwenu
Wameshatoa,majina vyuoni kwenu
Kama kuna m2 yeyote ameyaona kweny chuo chake a2tujuze..bado ha2elew kama yanatoka kwa Web yao ama kwa Chuo!
yako vyuoni tayari
nikikosa appeal sitaweza kuendelea na masomo tuombeane bandugu.
hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300ila kama ulikuwa miongoni wa walio appeal ni kwamba waliopata ni watu 400 tu kwa tanzania nzima ukijumuisha waliokosa na walioomba kuongezewa.
hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300
hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300