HESLB - Appeals

MWANKEMWA

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
63
Reaction score
7
Wajameni,kwa yeyote mwenye updates za HESLB kuhusu walio appeal.Nashukuru
 
Kama kuna m2 yeyote ameyaona kweny chuo chake a2tujuze..bado ha2elew kama yanatoka kwa Web yao ama kwa Chuo!
 
Ila kama ulikuwa miongoni wa walio appeal ni kwamba waliopata ni watu 400 tu kwa Tanzania nzima ukijumuisha waliokosa na walioomba kuongezewa.
 
ila kama ulikuwa miongoni wa walio appeal ni kwamba waliopata ni watu 400 tu kwa tanzania nzima ukijumuisha waliokosa na walioomba kuongezewa.
hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300
 
hapo majanga du.hapo wengi wamekosa maana kuna jamaa yangu yupo udom anakwambia kwa program yao tu waioapeal ni kama 300

ndo ivo maana wanadai fungu waliopewa limeisha, kwa hiyo habar ya mkopo ndo mwisho, hadi bajet tena!
 
Mmh ni hataree kwa hal hi mtu wa kipato cha chin ataweza kuxoma?
 
eeeeh!! jamani mnazungumzia mwaka huu au??? majina kweli yapo vyuoni??? eeeh Mungu wangu tusaidie bila wewe hatuwezi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…