HESLB Application 2013

HESLB Application 2013

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
261
Reaction score
93
http://olas.heslb.go.tz ishaanza kupiga mzigo kwa waombaji wapya na wazamani

kwa wale wahanga wa last year kuna kulipia tena 30,000/=, ukijumlisha na ya last year inakuwa umechangia 60K :A S 20:

Untitled 3.jpg
 
wahanga unamaanisha ni wa aina gan?
1. first year ambao hawakupata loan alocation?
2.or continuing students ambao hawakupata mkopo mwaka huu kwa matatizo mbali mbali. kama vle kutokuapate, etc
 
wahanga unamaanisha ni wa aina gan?
1. first year ambao hawakupata loan alocation?
2.or continuing students ambao hawakupata mkopo mwaka huu kwa matatizo mbali mbali. kama vle kutokuapate, etc

wote hao ambao hawakupata kabisa walivyoomba mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom