Heslb attention pliz !

Heslb attention pliz !

Kauzu B

Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
15
Reaction score
1
Wadau naulizia JE? Kwa wale waliokosa MKOPO kuna MATUMAINI ya kupata kitu chochote kutoka HESLB.
 
Wapigie simu. Au kama vipi andamana.
 
Dah! Mwenyewe najiuliza,ila labda tusubiri tar 20 ndo walisema watakaa heslb,wizara ya elimu na wawakilishi wa waliokosa mkopo,alafu ndo watasema kitu.
 
heslb wanasubili fungu la hela from wizara ya elimu.so worry out 2tapata 2
 
Jana tar.14.09.11 Serikali ya Ufaransa kupitia balozi wake hapa nchini imeisamehe serikali yetu deni la bilioni 21.8 na kuiomba Serikali yangu ilielekeze fungu hilo kwenye Elimu, Balozi huyo aliongea kwa Lugha ya kiswahili ambayo idadi kubwa ya wananchi wetu wanauelewa nayo. Chanzo cha ITV habari 2:12 usiku. Swali langu Kwa serikali, Je kauli za kuishiwa fedha zitakoma?
 
Back
Top Bottom