Julai tayari?Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo mh Raisi aliagiza zifutwe.
Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt . Kama ilikua siasa tuu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe.
Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt.
Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuz
Nenda kwenye mfumo wa Bodi ya Mikopo utaona deni lako halisi, achana na salary slipYaani tuzidi kupaza sauti Hawa watu wauwaji .
Kwahiyo hakuna uhusiano kati ya salary slip na bodi?Umefika bodi ya mikopo ukapewa balance statement? Ukaona penalty na vrf hazijaondolewa??
Au shida yako ni kuona tu vimeondolewa kwenye salary slip??
Mimi deni langu kwenye mfumo ni milioni 2.4Nenda kwenye mfumo wa Bodi ya Mikopo utaona deni lako halisi, achana na salary slip
Kwasasa uhusiano haupo, kwasababu taarifa za bodi hazijawa updated kwenye mfumo....hivo deni lako la kweli lipo bodi na sio utumishi/ kwenye salary slip.Kwahiyo hakuna uhusiano kati ya salary slip na bodi?
Je deni LA salary slip ni la kubuni?
Watoe majibuKuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe.
Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt.
Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
Watoe majibu
mwajiri wako ana hasara sanaMimi deni langu kwenye mfumo ni milioni 2.4
Kwenye salary slip ni milioni 2.19
Ipi ni sahihi hapo?
upo sahihi kabisaNenda kwenye mfumo wa Bodi ya Mikopo utaona deni lako halisi, achana na salary slip
upo sahihi kabisa
bodi wanaonyesha nadaiwa 19 million
salary slip 25 million
difference of 6 million
Kwanini wengine deni la bodi limeongezeka kwenye mfumo?Bodi ya mikopo inabd ifanye update ya deni kwenye salary slip kwa kupeleka taarifa utumishi
Mie nadaiwa 10m ilaaa slip ni 16m
Kwanini wengine deni la bodi limeongezeka kwenye mfumo?
Kwenye mfumo deni kubwa na kwenye slip deni dogo ingawa VRF imefutwa?