Tetesi: HESLB bado wanaendelea kutoa majina ya mikopo au wameshamaliza?

Hilo ni suala moja, kuandika kwa lugha fasaha ni suala jingine tofauti kabisa. Kweli msomi unayetaka kudahiliwa katika ngazi ya elimu ya juu una makosa yote hayo katika aya moja tu? Huko chuoni unakwenda kufanya nini?
 
sema unanikandia tu poa ila necta wananitambua kwa ufauru wangu TCU nao walikubali ndio mana wakanipa nafasi ya chuo blaza naona unadiss tu.
 
Hilo ni suala moja, kuandika kwa lugha fasaha ni suala jingine tofauti kabisa. Kweli msomi unayetaka kudahiliwa katika ngazi ya elimu ya juu una makosa yote hayo katika aya moja tu? Huko chuoni unakwenda kufanya nini?
Acha ungese mkuu kwani hujaelewa alichokiandika? Au unapenda kumkwaza tu dogo. Pili lazima ujue saikolojia ya dogo wakati huu ikoje pengine hata anavyoandika akiri yake haipo vizuri kabisa kwa hali anayopitia na wewe unavyojibizana nae naona kabisa wewe ndiyo hazikutoshi..
 
Huko nilishatoka kitambo sana dogo, na sasa nakula keki ya taifa tena bila makato ya bodi yenu hiyo pendwa.

Soma maisha mazuri yapo huku.
Wewe kilaza natamani sana nione mwandiko wako, ukipewa white pepar na pen, mapopoma kama nyie mnaojifanya mnajua sana kukosoa wenzenu ndio mabogazi wakutupwa... Kokolo wew
 
Write your reply...Aya maisha yanahatari sana, tupo weng ila jua tu wakati ujafika ukifika utapata fungu lako. Tutafute pa kuanzia wenda ndo kwenye ridhki yetu.
 
Wewe kilaza natamani sana nione mwandiko wako, ukipewa white pepar na pen, mapopoma kama nyie mnaojifanya mnajua sana kukosoa wenzenu ndio mabogazi wakutupwa... Kokolo wew
Jitie kidole cha kati kisha jinuse, hasira zitapungua. Kenge mmoja.
 
Jitie kidole cha kati kisha jinuse, hasira zitapungua. Kenge mmoja.
sawa sawa anajikuta mjuaji sana uyo afu usikute ndio awo wanao lipiwa ada toka LA vidudu adi chuo. na namwambia me napambana mwenyewe nazitafuta afu najilipia ada asijifananishe na mm uyo mkopo kukosa sio tija ii ni Tza . napambana mwakani najilipia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…